#DW: Mkutano wa masuala ya Diesel wakubaliana | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Mkutano wa masuala ya Diesel wakubaliana | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Wakuu wa makampuni ya kutengeneza magari nchini Ujerumani wamekubaliana hapo jana katika mkutano wa kilele uliowakutanisha na viongozi wa kisiasa kutumia kiasi cha Euro Milioni 500, sawa na Dola Milioni 592 katika kuboresha programu za kompyuta katika magari milioni 5.3 yanayotumia nishati ya dizeli, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kurejesha imani kwenye sekta hiyo iliyochafuka.
Wakati…
View On WordPress











