#DW: Syria yakanusha madai ya kujenga tanuri la kuteketeza waasi | Matukio ya Kisiasa | DW.COM
#DW: Syria yakanusha madai ya kujenga tanuri la kuteketeza waasi | Matukio ya Kisiasa |Â DW.COM
[ad_1]
Serikali ya Syria imekanusha madai yaliyotolewa na Marekani kuwa imejenga eneo la kuteketeza maiti katika mojawapo ya magereza yake, na inaweza kutumiwa kuteketeza miili ya wafungwa watakaouawa. Kauli hiyo inajiri wakati duru ya sita ya mazungumzo ya amani ya Syria ikifanyika mjini Geneva Uswisi.
Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Syria na ambayo imetangazwa na shirika la habari laâŠ
View On WordPress













