Mtazamo wa wanaume 'bahili' Duniani Wakati wa Sikukuu ya Valentino
Mtazamo wa wanaume 'bahili' na sikukuu ya Valentino
Ulimwengu unapoadhimisha sikukuu ya wapendanao, ama Valentine, kuna kundi la wanaume wanaojiita ‘bahili’ walioibuka katika mitandao ya kijamii ambao kwao sikukuu hii ni mwiko. Kote barani Afrika, makundi mbali mbali yameanza mchakato wa kuandaa ‘makongamano’ ya wanaume, ama makundi ya wanaume bahili, katika kipindi hiki cha sikukuu ya Valentine. Lakini lengo lao haswa ni nini? Mwanahabari…
View On WordPress












