Tanzania yatinga Fainali ga Kombe la Dunia kwa Watoto wa Mitaani
Tanzania yatinga Fainali ga Kombe la Dunia kwa Watoto wa Mitaani
Kwa mara ya pili mfululizo timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani kutoka Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuchachafya timu ngumu ya Marekani magoli 6 kwa 1, kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya mashindano haya hapa Rio de Janeiro.
Tanzania ilikuwa ya kwanza kupata goli katika dakika ya pili ya mchezo goli likifungwa na Michael, baada ya…
View On WordPress









