#DW: UNICEF: Zaidi ya watoto 40,000 wako hatarini Raqqa | Masuala ya Jamii | DW
#DW: UNICEF: Zaidi ya watoto 40,000 wako hatarini Raqqa | Masuala ya Jamii | DW
[ad_1]
Shirika la Kimataifa la kuwahudumia watoto, UNICEF limeonya kwamba mapigano ya kuukomboa mji wa Raqqa ambao ni ngome ya wapiganaji wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS ulioko Kaskazini mwa Syria yanatishia kugharimu maisha ya zaidi ya watoto 40,000, katika eneo hilo.
Taarifa iliyotolewa leo hii inasema machafuko hayo yamesababisha idadi kubwa ya watu kutoka ndani na nje ya mji huo…
View On WordPress















