#DW: Wasichana nchini Sudan ya Kunisi wapata hifadhi | Masuala ya Jamii | DW
#DW: Wasichana nchini Sudan ya Kunisi wapata hifadhi | Masuala ya Jamii | DW
[ad_1]
Msichana Stacey mwenye umri wa miaka 16 aliponea chupuchupu dhidi ya kile ambacho kingekuwa maisha ya umaskini na ukahaba katika mitaa ya mji mkuu wa Sudan Kusini Juba, baada ya kuchukuliwa na kuhifadhiwa katika nyumba maalumu zinazosaidia vijana na kuwapa elimu.
Wakiwa na njia finyu za kumudu maisha, kazi ya ukahaba imekuwa njia mojawapo ya kujikumu kimaisha kwa sichana wengi na…
View On WordPress












