#DW: Watu wawili wauawa kwenye maandamano nchini Kongo
[ad_1]
Mkurugenzi wa Afrika ya Kati wa Human Rights Watch Ida Sawyer amesema watu hao wameuliwa nje ya kanisa la Mtakatifu Alphonse katika wilaya ya Matete katika jiji la Kinshasa. Msemaji wa polisi Pierrot Mwanamputu hata hivyo amekanusha kwamba polisi walitumia risasi wakati wa maandamano hayo.
Watu kadhaa walijeruhiwa wakati vikosi vya usalama nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
View On WordPress
















