Chelsea wajivurugia ndoto
Jose Mourinho hajaamini jinsi vijana wake walivyocheza na kushindwa kuwafunga Norwich ambao wanaelekea kushuka daraja wakiwa katika nafasi ya 28 kwenye msimamo wa ligi.
Tena wakicheza nyumbani, Chelsea walishindwa kabisa kupenya ukuta wa Norwich, timu ambayo imekuwa na kawaida ya kufungwa mabao mengi msimu huu, na Mourinho analaani jinsi walivyoshindwa kumaliza kazi kipindi cha kwanza.
Suluhu…
View On WordPress
















