#DW: Muungano wa NASA watishia kususia uchaguzi | NRS-Import | DW.COM
#DW: Muungano wa NASA watishia kususia uchaguzi | NRS-Import |Â DW.COM
[ad_1]
Muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA umetishia kufanya maandamano na kususia uchaguzi ujao ikiwa tume ya uchaguzi nchini humo IEBC haitafutilia mbali rufaa iliyowasilisha mahakamani kupinga uamuzi uliotolewa na mahakama kuruhusu upinzani kuweka kituo chao cha kukusanya matokeo ya uchaguzi. Huku zikiwa zimesalia siku 84 uchaguzi mkuu kufanyika, umekuwa mchezo wa paka na panya kati ya…
View On WordPress











