Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
Wataalamu wa Nishati na Madini wametakiwa kushirikisha jamii inayozunguka miradi inayoanzishwa ili kuzuia migogoro inayoweza kutokea kutokana na wananchi kukosa uelewa na miradi mipya.
Baadhi ya washiriki kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa na Bw. Tim Mitro kutoka kampuni ya Petrogas (hayupo pichani)
Wito huo umetolewa na mtaalamu kutoka…
View On WordPress













