Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
Mtaalam Mwelekezi kutoka Kampuni ya Petrogas Bw. Tom Mitro (kushoto) akielekeza namna ya kuandaa mapendekezo ya miradi ( project proposals) mbele ya washiriki wa mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa na Bw. Tim Mitro kutoka kampuni ya Petrogas (hayupo pichani). Mtaalam Mwelekezi kutoka Kampuni ya…
View On WordPress










