Nishati: You can’t just use Bazinga for ever word you say!
Bazinga:
These two get into lots of shinanegins and I’m gonna love drawing em out!
(Also the image is based off a meme )
seen from United States

seen from Singapore

seen from Singapore
seen from Russia
seen from Israel

seen from Russia
seen from Sweden
seen from Malaysia
seen from Russia
seen from China
seen from Israel

seen from China
seen from Brazil
seen from Israel

seen from United States

seen from United States

seen from United States
seen from Saudi Arabia
seen from Yemen
seen from Sweden
Nishati: You can’t just use Bazinga for ever word you say!
Bazinga:
These two get into lots of shinanegins and I’m gonna love drawing em out!
(Also the image is based off a meme )

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
Just some sketches of some TLK fancharacters that I wanted to do as a ‘next generation’ thing!
We got Mkali and Usiku, who are King Kion and Queen Rani’s cubs! Bazinga, who is Bunga and Bingana(Binga)’s Kit! Nishati, Fuli and Azaad’s cub! Kulindwa, who’s Ono’s adopted son, and Fadhili, who is Beshte and—another fan character I made to be Beshte’s mate, but also be her own Character—Kucheza’s daughter!
I have whole character bio’s and stories and such set up for all of them already, so, I don’t know, if y’all want I can finna post them!
Also, Bazinga and Kulindwa’s designs are based on early Bunga and Ono designs!
Waziri Muhongo akutana na Makamu wa Rais wa MCC
Waziri Muhongo akutana na Makamu wa Rais wa MCC
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amekutana na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Changamoto za Millenia (MCC) Kamran Khan na Ujumbe wake akiwemo Balozi wa Marekani nchini Mark Childress, katika kikao kilicholenga kujadili maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa MCC Awamu ya pili na masuala ya kuendeleza sekta ya nishati nchini.
Balozi wa Marekaninchini Mark Childress (wa kwanza…
View On WordPress
WAZIRI MUHONGO AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA MCC
WAZIRI MUHONGO AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA MCC
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akisistiza jambo katika kikao baina ya Makamu wa Rais wa Mfuko wa Changamoto za Millenia (MCC) Kamran Khan (wa pili kushoto) na ujumbe wake akiwemo Balozi wa Marekani nchini Mark Childress(wa kwanza kushoto). Wengine wa kwanza ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava na watendaji wa Wizara,na wa…
View On WordPress
Burundi kusafirisha umeme kupitia Tanzania
Burundi kusafirisha umeme kupitia Tanzania
Serikali za Tanzania na Burundi zimesaini mkataba wa makubaliano ya kuruhusu Serikali ya Burundi kusafirisha umeme wake wa kutoka Rusumo kupitia Tanzania.
Waziri wa Nishati na Madini Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishatina Migodi wa Burundi, Come Manirakiza wakisaini mkataba wa maridhiano wa kuruhusu Serikali ya Burundi kusafirisha umeme wake wa kutoka Rusumo kupitia…
View On WordPress

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
Mtaalam Mwelekezi kutoka Kampuni ya Petrogas Bw. Tom Mitro (kushoto) akielekeza namna ya kuandaa mapendekezo ya miradi ( project proposals) mbele ya washiriki wa mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa na Bw. Tim Mitro kutoka kampuni ya Petrogas (hayupo pichani). Mtaalam Mwelekezi kutoka Kampuni ya…
View On WordPress
Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
Wataalamu wa Nishati na Madini wametakiwa kushirikisha jamii inayozunguka miradi inayoanzishwa ili kuzuia migogoro inayoweza kutokea kutokana na wananchi kukosa uelewa na miradi mipya.
Baadhi ya washiriki kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa na Bw. Tim Mitro kutoka kampuni ya Petrogas (hayupo pichani)
Wito huo umetolewa na mtaalamu kutoka…
View On WordPress
Wataalamu Nishati na Madini watakiwa kuwa wabunifu
Wataalamu Nishati na Madini watakiwa kuwa wabunifu
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Petrogas inayojihusisha na kutoa mafunzo kwa ajili ya uandaaji wa mapendekezo ya miradi pamoja na usimamizi wake yenye makazi yake jijini Dar es Salaam Bw. Greyson Kiondo akisisitiza jambo kwenye mafunzo yanayohusu uandaaji wa mapendekezo ya miradi na usimamizi wake yaliyoshirikisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea mjini Bagamoyo…
View On WordPress