TBT 1991! 30 years ago. What I have learned in life is, “we outgrow” each other, and it is okay. Nimejifunza katika maisha huwa tunabadilika na kuwa tofauti, Na ni sawa kabisa. Hatuishi milele. Leo mimi, kesho wewe. Lakini kwa bahati na kwa uwezo wa Mungu, tuko tofauti na maisha yetu ni tofauti. Unachokitafuta wewe, sio lazima mimi pia nikitafute. Si ajabu nilishakuwa nacho kabla, au sio cha msingi kwangu kwa sasa. #maisha #lifequotes #lifeisbeautiful #iamwhatiam #contentedlife #iam (at Mnazi Mmoja Moshi) https://www.instagram.com/p/CNHDIZIsBps/?igshid=1nnod6zqnz1v7











