CHAKULA CHA WASHINDI No.13
“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” “BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya nyumba ya Baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; Nami nitawabariki wale wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; Na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa. Basi Abramu…
View On WordPress
















