Ni vema kufata ratiba za #Chanjo ili kuwakinga #kuku wetu dhidi ya #magomjwa. Tusiache pia kuwatafuta wataalamu wa #mifugo ili kupata #ushauri. Lengo letu nikuwasaidia #wafugaji ili waweze kunufaika na #ufugaji #Tufuge kwa #tija #tufuge #kibiashara Kupata huduma wasiliana nasi kupitia simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #kuku #broiler #tanzania l #bata #kuchi #kilimoufugaji #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/BxpwsgsgK8J/?igshid=16ewn6zxa1fql
















