Una Mengi Kupendeka
Penzi umenipa. Ninayo sababu ya kusema "Una Mengi ya Kupendeka"
Umetenda, la mahaba ukanipa,Umelinda, la hofu ukalitupa,Hujakwenda, nalo deni ukalipa,Umetenda, ewe wangu maridhia. Wayataka, mazuri ya kupendeza,Umetaka, yanayofukuza kiza,Umefika, wendako ukaongoza,Wayataka, tena yasiyo na shari. Umedinda, wengine ukahujumu,Umeshinda, wewe ndiwe wa kudumu,Hujaranda, wengine wakuhukumu,Umedinda, ukawa wa kupendeka. Limetanda, wingu jema la amani,Limewanda,…
View On WordPress















