Uganda kutumia asilimia 97 ya mapato ya ndani kwa Kulipia deni la Taifa wakati deni likiendelea kuongezeka
Deni la Taifa la Uganda lazidi kupanda
Uganda itatumia sehemu kubwa ya mapato yake ya ndani katika kulipia deni katika mwaka ujao wa fedha wakati nchi hiyo inafanya kazi kuamsha uchumi wake ulioanguka baada ya janga la Covid-19. Kulingana na Bajeti ya Kitaifa ya 2021/2022 iliyoidhinishwa hivi karibuni na bunge, bajeti ya nchi inakadiriwa kuwa Ush45.65 trilioni ($ 12.38 bilioni), ambayo Ush20.9 trilioni ($ 5.66 bilioni) itaenda…
View On WordPress















