Familia ya George Floyd Kulipwa USD 27 Milion kama Fidia ya Kifo chake
Mawakili wa Familia hiyo wamesema jiji litailipa USD Milioni 27, ambazo ni nyingi zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya Marekani kama fidia kwa kifo kilichotokea kwa njia za kihalifu.
Jiji la Minneapolis katika Jimbo la Minnesota nchini Marekani limefikia makubaliano ya kuilipa fidia Familia ya George Floyd, Mwanaume mweusi aliyefariki akiwa mikononi mwa Polisi Mzungu mwezi Mei mwaka jana. Mawakili wa Familia hiyo wamesema jiji litailipa USD Milioni 27, ambazo ni nyingi zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya Marekani kama fidia kwa kifo kilichotokea kwa njia za…
View On WordPress












