Yawaje Kinda Alinda?
Yawaimba za kushinda, sauti iso kifani, Nyimbo utakazopenda, zijapo masikioni, Hutazama wanopanda, mnalo fumbo mtini, Yawaje kinda alinda, kiotani mna nini? ~Utunzi wa Kĩmani wa Mbogo #Mwanagenzi
Yawaimba za kushinda, sauti iso kifani, Nyimbo utakazopenda, zijapo masikioni, Hutazama wanopanda, mnalo fumbo mtini, Yawaje kinda alinda, kiotani mna nini?
Ana sime tena panda, usalama yu makini, Hakosi yake ajenda, fumbo tusilothamini, Ameamua kutenda, yu dhabiti kwa imani, Yawaje kinda alinda, kiotani mna nini?
Kikwazo amekiunda, utadhani gerezani, Ndege nina amekwenda, kaselea ugenini, Funun…
View On WordPress















