#MpenziLyrics Mpenzi anapaswa kuwa rafiki mzuri, si kila rafiki mzuri anafaa kuwa mpenzi/ Mapenzi yanafeli kwa kuendekeza kiburi, hakunaga mhitimu usijisahau mwanafunzi/ Mapenzi majukumu, wewe ni mwalimu/ Mpe elimu, usihukumu, kazi yako sio hakimu/ Ni kweli kaumbika, ila hajakamilika/ Usitake kubweteka, eti kisa kaokoka! Na hapo ndipo wengi wetu tunafeli/ Bahati mbaya tamaduni zetu hazituambii ukweli/ Ni zaidi ya upendo, zaidi ya uaminifu/ Maombi yawepo, ila usijekosa uvumilivu/ Mtoto kwa baba na mama hakui, kumbuka anaachana na wazazi kuambatana nawe/ Anza sasa kama ulikuwa hujui, nafasi ya makuzi inayomiss unapaswa utoe/ Hii ni... Kwa wanaopenda, wanaopendwa/ Ikikupiga chenga, jua wewe ndio wanaotendwa/ Na hii ni... Kwa wanaopenda, wanaopendwa/ Ikikupiga chenga, jua wewe ndio wanaotendwa/ Hii ni #Barz #WaNURU🐝 #WaNURUbarz🔥 #255CHH #CHH #OneTake #Indoor #Inanihusu #Rap #RapMusic #GoodMusicWithSubstance #HipHop #HipHopInjili #Tanzania🇹🇿 #EastAfrica #CamonCX #Love #Mapenzi #Mpenzi #Mlokole #Mkristo #Bongo #BongoFlavor #BoomPap #HipHopWorldWide #Gospo #Gospel #Christian #ChristianRap #ChristianHipHop (at Usa, Arusha, Tanzania)