"Kila MLOKOLE MJINGA....hukataa Maarifa
āKila MLOKOLE MJINGAā¦.hukataa Maarifa
ā Shetani hatumii makombora na mabomu makubwa kumshambulia ili amshinde. Bali anachukua tu KIBOKO CHA UJINGA anamcharaza kisawasawa hadi BABA WA MBINGUNI ANALIA HUKU AKISEMA: WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA⦠KWA SABABU LIMEKATA MAARIFA SASA MIMI NILISAIDIEJE? NIMELIKATAA LISIWE LANGU TENA (Hosea 4:6). Mkristo MJINGA KUHUSU UCHUMI NA FEDHA tafuta SIRI KWENYE BIBLIA NA VITABU VYAā¦
View On WordPress

















