#TRT: Zaidi ya magaidi 100 wauawa mpakani mwa Uturuki Taarifa ya jeshi la Uturuki yafahamisha ya kwamba zaidi ya magaidi 100 wa PKK kutoka maeneo ya Sinjar Iraq na washirika wake wa Syria katika milima ya Karaçok wa YPG wameuawa kwa mashambulizi ya angani siku ya Jumamosi.
Loading...













