#TRT: Magaidi kumi waangamizwa Misri | TRT Swahili Magaidi kumi wameripotiwa kuuawa baada ya mashambulizi ya anga kufanyika nchini Misri. Kwa mujibu wa habari,helikopta za kijeshi zimeshambulia ngome zote za magaidi katika mji wa Sheikh Zuweid Misri.















