Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha - na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi. Vitu vikubwa kabisa katika maisha uhitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha - kwa kujifunza kushukuru badala ya kuomba wakati wa matatizo. Kushukuru wakati wa matatizo ni kafara ya maombi. Wakatabahu, Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #maombi #prayers #maishayako #yourlife #kafara #sacrifice #shukurani #gratitude https://www.instagram.com/p/BycekENB188/?igshid=19q3o7atwyunr














