#bewafai #kafara https://www.instagram.com/urdupoetrypoint/p/BvMac4WnOhs/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1r0uc9nb78y90

seen from United States

seen from Saudi Arabia

seen from France
seen from United States

seen from Bulgaria
seen from United States

seen from Bulgaria

seen from Slovakia
seen from Georgia
seen from China

seen from Malaysia
seen from China

seen from Bulgaria
seen from United States
seen from Türkiye
seen from Jamaica

seen from Malaysia
seen from China

seen from Malaysia
seen from Slovakia
#bewafai #kafara https://www.instagram.com/urdupoetrypoint/p/BvMac4WnOhs/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1r0uc9nb78y90

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha - na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi. Vitu vikubwa kabisa katika maisha uhitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha - kwa kujifunza kushukuru badala ya kuomba wakati wa matatizo. Kushukuru wakati wa matatizo ni kafara ya maombi. Wakatabahu, Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #maombi #prayers #maishayako #yourlife #kafara #sacrifice #shukurani #gratitude https://www.instagram.com/p/BycekENB188/?igshid=19q3o7atwyunr
Maisha yangu ni kafara ya mafanikio yangu. Mafanikio ni matokeo mazuri ya jambo lolote na ni tofauti kwa kila mtu. Kama ulivyo uzuri, mafanikio yapo katika macho ya aonaye. Ni jukumu lako kujua mafanikio yana maana gani kwako, na jinsi gani umeyapata mafanikio hayo. Kufika hapa nilipofika leo nilijitolea vitu vingi na mambo mengi katika maisha yangu. Niliishi katika uhamisho wa kijamii kwa ajili ya mafanikio. Nilijitolea muda. Nilijitolea usingizi. Nilijitolea starehe. Wakati wengine wakienda baa mimi nilikuwa kazini. Wakati wengine wamelala, mimi nilikuwa macho nikifanya kazi. Wakati wengine wakiangalia vipindi pendwa vya televisheni, mimi nilikuwa nikiangalia vipindi visivyopendeka vya televisheni. Wakati wengine wana muda wa kuchezea, mimi nilikuwa nikiyaendesha maisha yangu kwa ratiba maalumu. Kufanikiwa katika maisha ni kuwa tayari muda wowote kujitoa mhanga kwa ajili ya kitu unachoweza kuwa. Lakini huwezi kujitoa mhanga bila kwanza kukubaliana na matatizo ya maamuzi yako. Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake. Taarifa: Hii ni nukuu namba 209 katika mlolongo wa kila juma wa Falsafa za Enock Maregesi. #mafanikio #success #kafara #sacrifice https://www.instagram.com/p/Bs-sCs6n5ul/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1qdup31pod82g
Kafara by Tariq Ismail Sagar
Read Online & Free Download Kafara by Tariq Ismail Sagar.this kitab is provide to beautiful kahani.Kafara lay kar ap ki khadimat may hazir howa hn mujhay sidat say is bat ka ahsas or ilm hay kah ap katni bay tabi say meray kis be nay novel k muntazir ho…
View Post