this genuinely bullshit picture i took
seen from Colombia
seen from Suriname

seen from South Korea
seen from United States
seen from Dominican Republic
seen from United States

seen from Brazil
seen from Colombia
seen from Argentina

seen from United States
seen from Kazakhstan
seen from Malaysia
seen from Philippines

seen from United States
seen from Brazil

seen from Malaysia
seen from Portugal
seen from Singapore
seen from Australia
seen from Italy
this genuinely bullshit picture i took

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
Kila familia, taasisi, au nchi, lazima iwe na kanuni ya kwake yenyewe ya maadili kama sheria; kwa ajili ya watoto, watumishi, viongozi, au wananchi hao, wa nchi, taasisi, au familia hiyo. Maadili hayo lazima yaingizwe katika akili na mioyo ya watoto, watumishi, viongozi, na wananchi kwa ujumla wao, kwa kuwafundisha maadili mema kazini na katika jamii, maadili yaliyotokana na imani au utamaduni wa mahali husika. Lakini hilo si jukumu la kwanza la walimu, jamii, au ulimwengu; bali ni jukumu la kwanza la wazazi, viongozi, na watawala wa nchi. Msingi wa maadili mema ni upendo, uaminifu, uadilifu, uwajibikaji, na heshima kwa wengine. Hicho ndicho kiini cha nukuu hii namba 356 mtandaoni. Kuna aina nyingi za maadili. Lakini katika nukuu hii nitazungumzia zaidi maadili ya watoto na ya watu wazima. Maadili ni gundi ya jamii inayoelezea jinsi watu wanavyopaswa kuishi pamoja katika jamii yao; kwani neno “maadili” la Kiswahili limetokana na neno “morality” la Kiingereza lililotokana na maneno “mos au moris” ya Kilatini. Maneno hayo humaanisha kanuni au desturi ya jamii fulani. Kanuni au desturi za maadili hutokana na imani au utamaduni wa jamii fulani, hivyo imani au utamaduni lazima viingizwe katika akili na mioyo ya watu, kwa kuwafundisha Maandiko au utamaduni wa mahali husika. Mnamo mwaka 1642 koloni la Massachusetts lilipitisha sheria iliyowataka wazazi wawafundishe watoto wao katika mikusanyiko ya familia 50 au 100 za Massachussets. Lakini sheria hiyo ililegalega sana hususan baada ya kuonekana kupuuzwa na wananchi waliokuwa wengi. Hata hivyo, mnamo mwaka 1647 sheria maarufu ya shule iliyoitwa “Old Deluder Satan Law” ilipitishwa na Mahakama Kuu ya Massachusetts. Sheria hiyo ilikusudiwa kuiimarisha sheria iliyolegalega ya mwaka 1642, ikiwa chini ya ufadhili na utekelezaji wa miji ya Massachusetts yenyewe. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2842049682485508&id=100000415120038 #maadili #morality #olddeludersatanlaw https://www.instagram.com/p/B4_Gd--HfeS/?igshid=owtgmuivwj1q
MWANAMKE MSUNGO
Wenzangu nyie malenga, heko mno kwa usanii, Mosi jambo lapiga chenga, wazi nalileta kwa jamii, Kwenye dinga nao Makanga, waulizana kwa 'tafitii, Dini 'tulete kwenye mwanga, Mashehe pasta na Manabii, Mwanamke msungo, mbona kakwepa unyago? Utunzi wa Kiambi Daniel #Mwanagenzi
Wenzangu nyie malenga, heko mno kwa usanii, Mosi jambo lapiga chenga, wazi nalileta kwa jamii, Kwenye dinga nao Makanga, waulizana kwa ‘tafitii, Dini ‘tulete kwenye mwanga, Mashehe pasta na Manabii, Mwanamke msungo, mbona kakwepa unyago?
Mke ‘kiteknologia, umeadhirika sihaba, Udijitatali ‘wabugia, utadhani nyoka ya shaba, Kilingeni ‘mejifungia, mwajadili yake swaiba, Mwajidai wangu Kagia, mchana…
View On WordPress
Nimebadili utaratibu wangu siku hizi kutokana na maadili ya watoto wetu. Siongei na watoto wangu kuhusu Mungu. Naongea na Mungu kuhusu watoto wangu. Yesu alilipa gharama ya maisha yake kutununua kutoka kwa Shetani. Tumrudie; hususan katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa. Ni juhudi za kila mmoja wetu kujenga maadili yaliyo mema katika jamii tunamoishi – si za dini au serikali peke yake – kwa kuwa karibu tena na familia zetu, makini mno na teknolojia na kumkubali Roho Mtakatifu kama kiongozi wa maisha yetu. #watoto #children #maadili #morals https://www.instagram.com/p/BsVYybxH9Hd/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=19oxlhhbexk1o
Usifate ya Waongo
Ukweli atakataa, kana kwamba siyo mwongo, La kweli atapindua, kwazo nyingi zake tungo, Mwili mwema atavaa, azifanye zake mingo, Usifate ya waongo, jifunze kusubiria. ~Utunzi wa Alvin Aron #Mwanagenzi
Ukweli atakataa, kana kwamba siyo mwongo, La kweli atapindua, kwazo nyingi zake tungo, Mwili mwema atavaa, azifanye zake mingo, Usifate ya waongo, jifunze kusubiria.
Wala sana hatokaa, ‘kitimia lake lengo, Haraka atakimbia, apotee kwenye jengo, Achotaka kachukua, kaliacha na mapengo, Usifate ya waongo, jifunze kusubiria.
Utabaki tu kulia, kwa kushindwa fanya fungo, Wazi ukamuachia, alipite lako…
View On WordPress

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
Nachukia...
Mtimani nachukia, asosema waziwazi, Arukarukae pia, mnazi hadi mnazi, Wasiwasi anitia, kupenda napata kazi. ~Utunzi wa Justine Bin Orenge #Mwanagenzi
Mtimani nachukia, asosema waziwazi, Arukarukae pia, mnazi hadi mnazi, Wasiwasi anitia, kupenda napata kazi.
Mtimani nachukia, mpenzi mwenye ghasia, Asiyetaka sikia, lolote nalomwambia, Asiyejali hisia, toka moyo kimwambia.
Mtimani nachukia, mke mzabizabina, Anayependa umbea, na apendaye fitina, Siri kwa watu kutoa, ‘kanikalia kigwena.
Mtimani nachukia, binadamu mwasherati, ‘Sojua ni…
View On WordPress
#DW: Maoni: Vitisho vya Trump ni kinyume na maadili ya Marekani
[ad_1]
Kwanza kabisaa tunapaswa kuweka mambo mawili wazi. Ni haki ya Rais Donald Trump kuitambua kivyake Jerusalem kama mji mkuu wa Israel, hata kama hili linakwenda kinyume na sera ya muda mrefu ya Marekani ya kutoegemea upande, na hata kama hili linakiuka onyo zilizotolewa na washirika wa Marekani kutoka mataifa ya Ulaya na ya Kiarabu kutofanya hivyo.
Vivyo hivyo ni haki pia kwa wanachama wa…
View On WordPress
Litende Hilo Litende
Litende lililo jema, kwa hilo ufurahie, Litende linalovuma, bidii sana utie, Litende kama huduma, watu wote uwambie, Litende hilo litende!
Litende la kuswifiwa, tena wingi wa nidhamu, Litende kufahamiwa, liwapo hilo muhimu, Litende utatendewa, kisasi kingali humu, Litende hilo litende!
Litende likunasuwe, tena kwa mema matendo, Litende ulitatuwe, usiselee u kando, Litende tulitambuwe, hata kama ni…
View On WordPress