KUHUSU: Ulimwengu na anga Za juu(space)
Ulimwengu(universe) ni jumla ya vitu vyote vilivyopo. Inajumlisha Dunia yetu pamoja na kila kitu ndani yake, jua letu, mfumo wa jua, sayari, nyota, galaksi n.k. Ni jumla ya maada, nishati na anga la Dunia pamoja na anga-nje. Pia ulimwengu(cosmos) niulimwengu unaoonekana kuwa na mpangilio mzuri. Ulimwengu ( Kilatini : universus ) ni anga na wakati na yaliyomo, ikijumuisha sayari , nyota ,…
View On WordPress













