Download Audio: Billnass - Tatizo
Download Audio: Billnass – Tatizo
Download Audio: Billnass – Tatizo Download Audio: Billnass – Tatizo Download Audio
View On WordPress

seen from United States

seen from Nigeria

seen from United States
seen from China
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from Russia
seen from United States
seen from United States

seen from United States
seen from Germany

seen from Malaysia
seen from United States
seen from United States
seen from China
seen from United States
seen from United States
seen from United States
Download Audio: Billnass - Tatizo
Download Audio: Billnass – Tatizo
Download Audio: Billnass – Tatizo Download Audio: Billnass – Tatizo Download Audio
View On WordPress

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
#TATIZO Kwenye Maisha hakuna Kumaliza ama kuyaweza mpaka siku unazikwa chini, Jiulize ni watu wangapi umewahi kuwajua walikuwa Maaarufu mpaka ukadhania wamemaliza lakini leo huyakumbuki majina yao kwa ukubwa huo?? Je ni wangapi walikuwa na Biashara zilizoshamiri na leo wamefilisika??Wangapi walikuwa na Nguvu kiasi cha kuona hakuna anaemuweza lakini leo hawana tena ?? Wangapi walikuwa na Nyumba ama gari za kifahari na leo hawana hata kimoja?? Hakuna Utajiri Mzuri kama Kuishi na Watu Vyema... Hata Uwe na Pesa Kumzidi Bill Gates Bado hutaweza kuibeba maiti yako wala kujizika mwenyewe...Hata Uwe Maarufu kumzidi Michael Jackson Bado utahitaji watu Ukiwa Mwizi utawaibia Watu,ukiwa Muimbaji Utawaimbia Watu.ukiwa Muhubiri Utahubiria Watu,So Heshimu sana Watu...hakuna Dunia Bila Watu @billnass https://www.instagram.com/p/CNF8VQcrnVs/?igshid=y4u9r9wlby88
Jibu la tatizo hupatikana baada ya kujua swali la tatizo. Swali la tatizo ni jibu la tatizo. Si jibu la matokeo ya tatizo. Kama tatizo ni ukame hutapata jibu la tatizo hilo mpaka ujue kwa nini kuna ukame. Inawezekana sababu ni mvua; inawezekana sababu ni migogoro ya ardhi au vita; inawezekana sababu ni ukataji miti ovyo; inawezekana sababu ni ardhi kukosa unyevunyevu kutokana na kupungua kwa vina vya mito; inawezekana sababu ni madhara ya ongezeko la joto duniani. Vyovyote itakavyokuwa, jibu litapatikana baada ya kujua chanzo cha tatizo. Swali la tatizo ni kama vile, “Kwa nini moyo umepanuka?” Swali hilo linahitaji jibu sahihi. Inawezekana moyo umepanuka kutokana na figo kufeli, hivyo kushindwa kuchuja maji vizuri, na kwa sababu hiyo maji mengi kurudi kwenye moyo, hivyo kusababisha upanuke, kwa kusababishwa na wingi wa maji kwenye moyo. Kwa hiyo, badala ya kutibu moyo ambao ni matokeo ya tatizo, unatibu figo ambacho chanzo. Swali la tatizo ni swali linaloulizia chanzo cha tatizo, litakaloleteleza ufumbuzi wa kudumu wa tatizo lenyewe. Kwa hiyo, kwa ufupi: Jibu la tatizo hupatikana baada ya kujua chanzo sahihi cha tatizo, na kulitatua tatizo lenyewe. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #chanzo #source #swali #question #tatizo #problems https://www.instagram.com/p/BwT2TVfneZ-/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=kaolaoirgug6
Toka kwa Ikupa Mercy Kyomo wa D.C.K
Toka kwa Ikupa Mercy Kyomo wa D.C.K
Tatizo lako laweza kuwa kubwa kuliko wewe lakini kamwe usimlinganishe Mungu na tatizo lako. Mungu ni #Mkubwa #Kuliko matatizo yako. Kwakua Aliye ndani yako ni #Mkuu #Kuliko yeye aliye katika dunia; na hapa haimaanishi shetani tu, ila hata changamoto za ulimwengu huu. Na kama #Yeye Alivyo ndivyo na sisi tulivyo ulimwenguni humu. Basi tambua yakua wewe ni mkuu kuliko changamoto za mazingira yako…
View On WordPress
Kenyan Youth launch movie to fight illicit brew
Kenyan Youth launch movie to fight illicit brew
Hiram Kimotho (script writer and director photography) on the left listens as one of the women who participated in the demonstrations with MP Ferdinand Waititu speaks to the audience on the dangers of illicit brew after the Tatizo Movie launch. Ferdinand Waititu, the Member of Parliament, for Kabete Constituency is known for instant justice and this was evident in the fight against illicit brews…
View On WordPress

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
yesu amesema nikuambie hii
YESU AMESEMA NIKUAMBIE HII [THE LORD JESUS COMMANDED ME TO TELL YOU THIS]: “Kila Jaribu, Tatizo, Changamoto Au Gumu Katika Maisha Ya MKRISTO [MWAMINI] Lina TAREHE YAKE YA MWISHO”
“Every Trial, Problem, Challenge Or Difficulty In A Life Of A Believing…
View Post