#TRT: Mtazamo wa Uturuki Mashariki ya Kati Katika wiki za hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi katika mpaka wa mashariki ya Uturuki maeneo ya kanda ya Fırat.Hali hii imepelekea kuwa na fikra mpya ya mapambano dhidi ya ugaidi katika rneo la Afrin .Leo katika kipindi chetu mtazamo wa Uturuki mashariki ya kati tutaangazia kuhusu operesheni ya Afrin .















