KIRUSI KIKUBWA MWENYE UMRI WA MIAKA 30,000 AGUNDULIKA SIBERIA.
KIRUSI KIKUBWA MWENYE UMRI WA MIAKA 30,000 AGUNDULIKAĀ SIBERIA.
Pichani juu ni kirusi aina yaĀ āPithovirusā mwenye umri wa miaka 30,000
Inaweza ikawa ni vigumu kuamini ila ukweli ni kwamba,Ā kirusi mpya mkubwa kuwahi kutokea Duniani amegundulika na watafiti eneo la Siberia Urusi baada ya kuishi chini ya barafuĀ kwa takribani karne 300Ā sawa na miaka 30,000. Ā Ā
Anafahamika kwa jina la kisayansiĀ āPithovirusā amepatikana chini ya ardhi iliyoganda kaskaziniā¦
View On WordPress








