Nilitoka mashambani,kujiendea mjini, Na mfuko mabegani, na tunguri mkononi, Kwa tabasamu kinywani, kwa maisha ya mjini, Jamani singeambika, Lo! Mji una wenyewe. ~Utunzi wa Mwangi wa Githinji #Mwanagenzi
Nilitoka mashambani,kujiendea mjini, Na mfuko mabegani, na tunguri mkononi, Kwa tabasamu kinywani, kwa maisha ya mjini, Jamani singeambika, Lo! Mji una wenyewe.
Nikatua kituoni, kwa kishindo cha mwilini, Nikaabiri basini, kujiketia kitini, Na karibu dirishani, kasonga pale pembeni, Kicheko kilijazika, kuwaaga wa shambani.
Matwana hiyo mbioni, kutifua mavumbini, Dereva ‘ hadaratini, nayo mirungi…
View On WordPress











