#DW: Waasi nchini Syria waanza kujisalimisha
[ad_1]
Vikosi vya serikali na waasi wa kishia wamewalazimisha waasi wengi kusalimu amri tangu Urusi ilipoingilia kati kwa mashambulizi ya ndege mwaka 2015, na kuwarudisha nyuma waasi katika maeneo madogo madogo. Eneo la Kaskazini Magharibi lililoko karibi na mji wa Idlib, ni moja ya eneo muhimu kwa waasi.
Pia wanadhibiti eneo kubwa linalopakana na Jordan na eneo linalodhibitiwa na Israel la…
View On WordPress














