Kufanya mazoezi
Ninahitaji kufanya mazoezi ya kiswahili. Nina mengi ya kujifunza. Sasa nina kikundi cha kiswahili kwa FB. Ninazungumza kwa kikundi, lakini watu hawaongei sana. Labda hawajui mengi. Lakini mimi sijui mengi pia. Labda hawataki kuzungumza na mimi kwa sababu sijui mengi. :( Hatujui mengi! Lakini ninajua Kinorwe na Kifaransa. Lugha hizo ni rahisi. Kiswahili si rahisi, ni kigumu.










