Muziki wa Bongofleva ni mkubwa kwa sasa
Muziki wa Bongofleva ni mkubwa kwa sasa
Nimeona kampeni kubwa dhidi ya mwanamuziki Nassib Abdul mwenye lakabu ya Dimaond Platinumz ambaye anawania tuzo ya kimataifa inayotolewa na BET. Aliyekuwa mgombea wa urais mwaka 2020, Tundu Lissu alianzisha kampeni za kutaka waandaaji wa tuzo za BET wamuondoe Diamond Platinumz kwa kile alichokiita kushirikiana na watu ambao wamekuwa na taswira mbaya kwa jamii kutokana na matendo yao. Lissu…
View On WordPress










