#Tetesi Kwa mujibu wa Tuttosport ni kwamba Juventus wana mpango wa kuwatoa Daniele Rugani na Federico Bernardeschi kwenda Wolverhampton kwenye jaribio la kupunguza thamani ya dau la mshambuliaji raia wa Mexico, Raul Jimenez. 🇲🇽 https://www.instagram.com/p/CBxN7BBgXUL/?igshid=rvpa8ratj8rg
Loading...















