Tusiusahau Mchezo Wa Ngumi Tanzania
Ukiachana na mchezo wa mpira wa miguu ambao kwangu mimi naamini ndio unaoongoza kwa kufuatiliwa zaidi na kupendwa hapa Tanzania, naweza kusema pia masumbwi ni mchezo wa pili unaopendwa zaidi na umekuwa moja ya michezo inayokua kwa kasi Tanzania. Masumbwi ni moja kati ya mchezo ambao pia umechangia si tu kuinua vipaji vya vijana bali pia kutoa fursa za ajira na kujenga maisha bora kwao jambo…















