#TRT: Rais Erdoğan afanya mazungumzo kwa njia ya simu na rais wa Aerbaijan İlham Aliyev Katika mazungumzo yao rais wa Uturuki na rais wa Azerbaijan İlham Aliyev wamezungumzia masuala tofauti ikiwemo suala la Jerusalem na na ushirikiakano katika sekta tofauti baina ya Uturuki na Azerbaijan.










