PICHA 11: Ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali ilivyowasili Jijini Dar es Salaam leo
PICHA 11: Ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali ilivyowasili Jijini Dar es Salaam leo
Ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ikitokea nchini Canada ilikotengenezwa.
Ndege hiyo aina ya Bombadier Q400 NextGen imetua majira ya saa 6:15 Mchana na kisha kupatiwa heshima maalum ambayo hutolewa kwa ndege yoyote mpya inayotua katika nchi…
View On WordPress













