Fahamu mbinu bora za utunzaji wa kuku nyama | broiler Joto la kutosha ni kitu muhimu cha kuzingatia ili kuzuia vifo kwa Vifaranga Tumia bruda na vyungu Vya joto katika kulea Vifaranga Fahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia umeme au gesi. Umuhimu wa vyungu. 1• Vyungu hivi vinauwezo wa kutoa joto kwajili ya vifaranga na hata kuku wakubwa. 2• Vyungu vinauwezo wa kutoa joto zaid ya masaa kumi na mbili ( 12hrs) 3• Ukiweka mkaa asubuhi ni hadi jioni ndio utaongeza tena. 4• #Chungu kimoja kinauwezo wa kuhudumia vifaranga 100 ndani ya bruda 5• Kama hauta tumia bruda chungu kimoja kitaweza kutoa joto LA kulea vifaranga 80 hadi 90. 6• #Chungu hutumia mkaa mchache sana hivyo hupunguza gharama za matumizi ya umeme au gesi 7• #Vyungu vinauwezo wa kukuza vifaranga vizuri na hukua kwa afya njema. Sifa za vyungu kutoka @mifugo_tz a. Udongo wake ni mfinyanzi asilia kwa 100% b. #Vyungu ni vizito c. Vina ukubwa wa kutosha d. Vina matundu ya kutoa joto la kutosha f. Vinauimara wa kutosha Bei ya chungu kimoja • Morogoro = 12,000Tsh • Dar es salaam = 15,000Tsh • Mwanza = 15,000Tsh Vyungu hivi unapata ukiwa mkoa wowote tunakutumia ulipo. Dar es salaam contact | Dr Kessy +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Morogoro tupo morogoro mjini tupigie simu Mwanza tupo nyashishi tupigie simu Mikoa mingine unatumiwa Email: [email protected] Huduma zetu utapata ukiwa mkoa wowote Tanzania Jiunge nasi kwenye WhatsApp group kujifunza mengi @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vunguvyajoto #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/B23J_nlghFM/?igshid=potpm26lsk69














