Basically my mind on alcohol

#batman#bruce wayne#tim drake#dick grayson#batfamily#batfam#dc fanart




seen from Argentina
seen from United States
seen from Canada
seen from Philippines
seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from Brazil
seen from China

seen from United States

seen from United States
seen from Yemen
seen from China

seen from United States
seen from China
seen from Argentina
seen from Switzerland
seen from United States
seen from China
seen from Germany
Basically my mind on alcohol

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
Walevi Mwanishangaza
Mwenzenu ninalo swali, lanitatiza hakika, Laniuumiza akili, mawazo yananifuka, Zama hizi maadili, ni wapi tumeyaweka? Walevi mwapata nini, mnapotumia pombe? ~ Utunzi wa Kinyafu Marcos #Mwanagenzi
Mwenzenu ninalo swali, lanitatiza hakika, Laniuumiza akili, mawazo yananifuka, Zama hizi maadili, ni wapi tumeyaweka? Walevi mwapata nini, mnapotumia pombe?
Mwajazana gulosari, mpate vyenu vileo, Mnazianza safari, mwonapo sasa machweo, Hamuogopi hatari, jueni lipo tokeo, Walevi mwapata nini, mnapotumia pombe?
Wengine kwenye vilabu, mnashinda hukohuko, Hamna hata aibu, vilabuni mshindako, Si…
View On WordPress
Moyes azua kizaazaa baa
Moyes azua kizaazaa baa
Kocha aliyefukuzwa kazi Manchester United, David Moyes anasemekana amesababisha valangati kwenye baa moja iliyopo Clitheroe, Lancashire.
Moyes anadaiwa kumpiga kijana mwenye umri wa miaka 23 kwenye baa iitwayo Emporium hiyo maarufu kwa kuuza mvinyo.
Polisi wameanza uchunguzi juu ya tuhuma hizo za jinai, kwa sababu waliitwa na kuarifiwa juu ya kuumizwa kwa kijana huyo.
Kasheshe hiyo ilitokea…
View On WordPress
Ulevi wamponza Smalling wa Man United
Ulevi wamponza Smalling wa Man United
Beki Chris Smalling wa Manchester United ameadhibiwa na klabu yake kutokana na kitendo chake cha kuimba na rafiki zake katikati ya Jiji la Manchester usiku wa manane baada ya kupiga kinywaji.
Smalling ambaye ni majeruhi, alikutwa saa tisa usiku wa kuamkia Jumapili akiimba na wenzake wakiwa katika hali ya ulevi, ikiwa ni baada ya United kuwashinda West Ham United kwa mabao 2-0 jijini London.
Kocha…
View On WordPress