Dr. @tulia.ackson Uwepo wako na mchango wako katika tukio hili la @giantsofafrica ni heshima kubwa katika mchezo wa mpira wa kikapu na sekta ya michezo kwa ujumla. Kwa kutambua mchango wako na Taasisi ya @tuliatrust_org katika maendeleo ya sekta ya michezo, Tunayo imani kwamba utashirikiana na wadau mbalimbali wa mchezo huu katika kutatua changamoto mbalimbali hususani uboreshwaji wa miundombinu ya mchezo huu (viwanja). #wearebasketball🏀 #tanzaniadreamsbig #iamagiant #giantsofafrica #tuliatrust #tuliaackson #tuliamarathon #kiwira #kiwirabasketball #mbeya https://www.instagram.com/p/B1k8fVEhiqk/?igshid=efmucu8j10a8











