Dunia imekata tamaa. Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko ukombozi wa maisha yao. Sekunde moja ya toba inaweza kukupa ufalme wa mbinguni. Hujachelewa. Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko injili. Mungu hasisimuliwi na matatizo yako. Anasisimuliwa na imani yako. Sema “Asante Mungu” au “Mungu nisamehe” lakini hiyo “Asante Mungu” au “Mungu nisamehe” itoke moyoni. Tubu dhambi zako na kuiamini injili. #duniaimekatatamaa #theworldhasgivenup #matatizo #problems #tubu #toba #repent #repentance https://www.instagram.com/p/Bs2SHFKnQhr/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=e8fqgfj9qpus














