Drinker za kisasa | Vifaa vya kisaaa ambavyo hutumika kuwapa kuku maji ya kunywa. #drinkerzandoo Faida za drinker za kisasa 1. Hupunguza uwezekano wa kuku kupata magonjwa au maambukizi ya magonjwa maana maji yanakua ndani ya ndoo na yanatoka kidogo kidogo kama matone pale Kuku anapo igusa nipple. 2. Hupunguza ukubwa wa kazi, kwamaana huta na tabu ya kuziosha drinker zako kila siku, kwakuwa kuku hawezi chafua maji yalio ndani ya drinker hii. 3. Drinker hizi hubeba maji mengi kwa wakati mmoja, ndrinker moja hubeba maji kiasi cha lita 20, hivyo unaweza kukaa siku 2 au 3 bila kuweka maji mengine. 4. Drinker hizi ni rahisi sana kutumia, mana utakuwa unajaza maji tu kwenye drinker na kuendelea na shughuli zingine. 5. Drinker hizi ni imara sana, hudumu muda mrefu bila kuharibika Karibuni sana Mifugo Tz | Home of our farmers Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio wenye uzoefu wa kutosha. Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups, ili uendelee kujifunza mengi na kukutana na familia ya wafugaji. Kujiunga tuma jina lako WhatsApp kwenye 0712253102 Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz #TeamWorkDoubleSuccess Phone: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #kuroiler #sasso #mbuzi #mbwa #daressalaam #morogoro #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/B3zVEW4Au4u/?igshid=16scyjblh8qk5










