@tigo_tanzania na @tigomusictz Wakiwa na cloudstv Ule muda wa kusaka vipaji vya kipekee na adhimu ndani ya #ShyTown #Shinyanga ilikuwa kama hivi. Mshindi wa #SupeNyota utamshuhudia katika jukwaa la #Fiesta2016 katika uwanja wa nje wa Kambarage. #Tigofiesta #Imoooo (at Shy Town)
Loading...













