Karibu Uhudumiwe na #LeoTena; wahudumu wako @dahuuofficial, @geahhabib , @mwanadsm , @josemarah na @kichekomtata wako tayari kukuhudumia Boss. #Imooooo Jumamosi kuanzia mapema Asubuhi, kwenye Kanda Maalum ya #LeoTena pale Leaders, watakuwa tayari kukuhudumia kuanzia #BreakFast ya #November05 , Mchana mzima hadi usiku watakupatia chakula na vinywaji na balaa zaidi watakaa mpaka wakupatie #Breakfast ya November 6 ( Asubuhi baada ya #Fiesta2016). Karibu kiti: utapewa nini? #Imooooo @tigo_tanzania @tigomusictz












