Swali na Jibu | Aina za Kunasihi (NECTA 2005)
Swali na Jibu | Aina za Kunasihi (NECTA 2005)
Taja aina kuu mbili (2) za kunasihi. (NECTA 2005)
1) Unasihi wa Jadi
Huu ni utaratibu wa kuwashauri watu wenye matatizo uliotumiwa na kila jamii tangu zamani ambao haukua unazingatia taaluma.
2) Unasihi wa Kisasa
Hii ni taaluma ya kusomea ambayo mtu hujifunza misingi, mbinu na miiko katika utoji ushauri nasaha kwa watu wenye matatizo na vilevile hujifunza mazingira ambayo yaweza…
View On WordPress











