WATAHINIWA 1,384,340 WAMEANZA MITIHANI, 2022 IDADI YAONGEZEKA
WATAHINIWA 1,384,340 WAMEANZA MITIHANI, 2022 IDADI YAONGEZEKA
Kutoka OR-TAMISEMI Jumla ya watahiniwa 1,384,340 wameanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi nchini huku idadi ya watahiniwa kwa mwaka 2022 ikiongezeka ukilingalinisha na mwaka 2021 ambapo jumla ya watahiniwa walikuwa 1,132,084 sawa na ongezeko la watahiniwa 252,256 katika mwaka huu. Naibu Katibu Mkuu (Elimu OR – TAMISEMI) Dr. Charles Msonde Hayo yamebainishwa Septemba 5,2022 na Naibu…
View On WordPress















