Leo watu wetu tuzungumze. Umeshawahi kusikia neno kufukuzwa kazi? Umeshawahi kufukuzwa kazi? Au kukosa ule mchongo uliokuwa ukiufukuzia?? Kama ulishawahi kufukuzwa kazi hebu tueleze hapa kwenye comment ile barua uliipokeaje na hali yako ilikuwaje baada ya kupokea barua? #dailymodealer #modealertz #modealer839 #modealertv #ajira https://www.instagram.com/p/CkIZ7_UKZT6/?igshid=NGJjMDIxMWI=













