Baada ya hitilafu iliyotokea na kupelekea mtandao wa whatsapp kugoma duniani kote, hatimae mtandao wa #whatsapp umerejea katika hali yake ya kawaida. Jee #metarverse wataeleza nini kuhusu chanzo cha tatizo? subiri. #dailymodealer #modealer #modealer839 #modealertv #technology https://www.instagram.com/p/CkIdaNMKWNv/?igshid=NGJjMDIxMWI=











