ZIJUE TAFSIRI ZA KULA NA KULISHWA NYAMA NDOTONI
Dhana ya kula chakula ndotoni si jambo baya si jambo la ajabu japo kuna wakati huambatana na matatizo ya kisaikolojia kwa sehemu. Lakini lazima tutambue kuwa lazima uote, kuota ni lazima na kuna ndoto baadhi hazina maana yoyote zaidi ya kumbukumbu ya yaliyopita. Kuota mara kwa mara unakula ni ishara ya kutamani kufanikisha jambo fulani katika maisha, hamu ya kuwa na mahusiano , mali ama mafanikioโฆ
View On WordPress











